Akiwa hoi taabani baada ya kutembezewa kichapo.
Kibaka
aliyejulikana kama Baba Hawa, mkazi wa Sinza Kamanyola jijini Dar
akipokea kipigo kikali toka kwa wananchi wenye hasira baada ya kunaswa
akiiba kinyonyeo cha kompyuta (flash) kwenye duka moja la vifaa vya
ofisini (stationery) lililopo Bamaga, Mwenge.
Bahati ilioje! Kibaka
mmoja aliyejulikana kama Baba Hawa, mkazi wa Sinza Kamanyola jijini Dar
juzikati nusura auawe kwa kuchomwa moto na wananchi wenye hasira baada
ya kunaswa akiiba kinyonyeo cha kompyuta (flash) kwenye duka moja la
vifaa vya ofisini (stationery) lililopo Bamaga, Mwenge.
Kibaka huyo akiendelea kupokea ‘dozi’.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269