Breaking News

Your Ad Spot

Jun 4, 2015

NYAMLANI MGENI RASMI MASHINDANO YA ROBO FAINALI YAKWANZA YA MTEMVU CUP DAR ES SALAAM

Kati ya  Mpira iliyotumika katika Mashindano ya Mtemvu Cup (PICHA ZOTE  NA KHAMISI MUSSA)
Aliyekuwa Makamu wakwanza wa shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Athumani Nyamlan (mwenye tai) akikagua timu ya mpira ya  Mtoni na Azimio wakati wa mashindano ya robo fainali  ya kwanza ya Mtemvu Cup katika viwanja vya Mwembe Yanga Dar es Salaam  Mtoni ilishinda mabao 4-3. 
 Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu  akisalimia mmoja wa kiongozi wa timu hizo baada ya aliyekuwa  Makamu wakwanza wa shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Athumani Nyamlan kukagua timu zizo Dar es Salaam viwanja vya Mwembeyanga.
 Aliyekuwa Makamu wakwanza wa shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Athumani Nyamlan (watatu kulia) akizungumza na wachezaji baada ya kukagua timu hizo
  Athumani Nyamlan akizungumza na waandishi pichani hawapo baada ya kukagua timu hizo
 Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu akizungumza na waandishi wa Habari pichani hawapo baada ya ukaguzi wa timu
 Mlinda mlango wa timu ya  Azimio Jafary Iddy akimdhibiti  mchezaji wa timu ya mtoni Nyaka Abuu wakati alipofika langoni kwake wakati wa mashindano ya robo fainali  ya kwanza ya Mtemvu Cup katika viwanja vya Mwembe Yanga Dar es Salaam  Mtoni ilishinda mabao 4-3. 


Mashabiki wakifatilia mpambano huo
 Wadau wakicheza wakati timu hizo zilipokuwa zikichuana
 Wadau Mbalimbali wakifatilia mpambano huo
 Wasanii Mbalimbali nao walijitokeza akiwemo Mkurugenzi wa Wakubwa na Wanae Saidi fera (kulia) wakatikati teacher Bonge ambaye ni Promota na anaye fatia ni Ispectar Harooni Babu  wakati wa mashindano ya robo fainali  ya kwanza ya Mtemvu Cup katika viwanja vya Mwembe Yanga Dar es Salaam  Mtoni ilishinda mabao 4-3. 

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages