Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na baadhi ya watoto wenye albinism
mara baada ya kuwasili katika uwanja wa michezo wa Sheikh amri Abeid
mjini Arusha leo ambapo aliongoza maadhimisho ya siku ya watu wenye
Albinism Duniani.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na Mkewe Mama Salma Kikwete wakiwa na
baadhi ya watoto wenye albism katika uwanja wa michezo wa Sheikh Amri
Abeid mjini Arusha wakati wa maadhimisho ya siku ya watu wenye albinism
Duniani. picha na Freddy Maro.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269