Jeneza lenye mwili wa Marehemu, Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba, likitolewa
nyumbani kwake, tayari kwa safari ya kwenda msikitini kuswaliwa na
baadae kwenye mazishi, yaliyofanyika kwenye Makaburi ya Waislam, Nguzo Nane Mkoani Shinyanga.
nyumbani kwake, tayari kwa safari ya kwenda msikitini kuswaliwa na
baadae kwenye mazishi, yaliyofanyika kwenye Makaburi ya Waislam, Nguzo Nane Mkoani Shinyanga.
PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI.
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka ugongo kwenye Kaburi la Marehemu
Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba, aliezikwa
Juni 16, 2015 kwenye Makaburi ya Waislam, Nguzo Nane Mkoani Shinyanga.
Masheikh
kutoka sehemu mbalimbali hapa nchini wakimzika Mufti Mkuu wa Tanzania,
Sheikh Issa Shaaban bin Simba, aliezikwa Juni 16, 2015 kwenye
Makaburi ya Waislam, Nguzo Nane Mkoani Shinyanga.
Waziri
Mkuu Mstaafu, Mh. Fredrick Sumaye akiweka ugongo kwenye Kaburi la
Marehemu Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba,
aliezikwa Juni 16, 2015 kwenye Makaburi ya Waislam, Nguzo Nane
Mkoani Shinyanga.
Waziri
Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa akiweka ugongo kwenye Kaburi la
Marehemu Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba,
aliezikwa Juni 16, 2015 kwenye Makaburi ya Waislam, Nguzo Nane
Mkoani Shinyanga.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa pamoja na viongozi mbalimbali wakati wa Mazishi ya Marehemu, Sheikh
Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba, Mbaraka Simba wakati
kwenye Makaburi ya Waislam ya Nguzo Nane, Mkoani Shinyanga Juni 16,
2015.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269