Breaking News

Your Ad Spot

Jun 25, 2015

TANGAZO LA MSIBA TANZANIA NA MAREKANI

DR. ALI MZIGE wa Mikocheni, Dar es salaam anasikitika kutangaza kifo cha Dada yake MRS MARIAMU -MWAJUMA MUSISA (NEE MZIGE) kilichotokea Raleigh, North Carolina Marekani tarehe 21-06-2015. Mwili wa marehemu utaletwa Tanzania kwa ajili ya mazishi.
Tutatoa taarifa zaidi mwili utakapowasili. Kwa mawasiliano tafadhali mpigie Yussuf Mhiro 0754-609-338 / 0714-979-014.Usomapo taarifa hii tafadhali wajulishe ndugu jamaa na marafiki wa Ukoo wa Humbi Ziota na Musisa. Au Kaka wa Marehemu DR. ALI A. MZIGE 0713 410 531, 0754 495 998.
Inna Lillahi, wa inna ilaihi ra'ajiun.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages