Breaking News

Your Ad Spot

Jun 27, 2015

WAFANYAKAZI WA WIZARA OFISI YA RAIS ZANZIBAR NA VIONGOZI WASHIRIKI FUTARI YA PAMOJA IKULU ZANZIBAR

1 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar  Maalim Seif Sharif Hamad alipowasili viwanja vya Ikulu jana kuhudhuria katika futari ya pamoja na Wafanyakazi wa Wizara zilizo chini ya Ofisi ya Rais,
[Picha na Ikulu.]
???????????????????????????????????? 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia)  na Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar  Maalim Seif Sharif Hamad wakiwa  katika futari ya pamoja na Wafanyakazi wa Wizara zilizo chini ya Ofisi ya Rais,(kushoto) Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khamis Haji.
???????????????????????????????????? 
Viongozi mbali mbali wa Wizara zilizo chini ya Ofisi ya Rais wakiwa katika futari ya pamoja iliyotayarishwa jana katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar.
????????????????????????????????????Wafanyakazi wanawake wa Wizara mbali mbali wa Wizara zilizo chini ya Ofisi ya Rais wakiwa katika futari ya pamoja iliyofanyika jana katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar,ambapo Viongozi Wakuu wa Nchi walihudhuria ambao ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,Makamo wa Kwanza wa Pili  wa Zanzibar  Balozi  Seif Ali Iddi.
????????????????????????????????????Waheshimiwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar pia walijumuika katika futari ya pamoja na Wafanyakazi wa Wizara zilizo chini ya Ofisi ya Rais,iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar jana,
???????????????????????????????????? Wafanyakazi wanawake wa Wizara mbali mbali wa Wizara zilizo chini ya Ofisi ya Rais wakiwa katika futari ya pamoja iliyofanyika jana katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar,ambapo Viongozi Wakuu wa Nchi walihudhuria ambao ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,Makamo wa Kwanza wa Pili  wa Zanzibar  Balozi  Seif Ali Iddi.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages