.

DK. SHEIN APOKELEWA KWA SHANGWE MJINI ZANZIBAR

Jul 13, 2015

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akivalishwa Skafu na Kijana Chipukizi Pili Hassan Suluhu mara alipowasili   katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume kwa ndege ya Serikali akitokea Dodoma leo baada ya kuteuliwa tena na Kamati Kuu ya CCM Taifa  kugombea  Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili kupitia CCM,[Picha na Ikulu.]

 Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akivalishwa Skafu na kijana chipukizi  Pili Hassan Suluhu mara alipowasili   katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume kwa ndege ya Serikali akitokea  Dodoma akiwa na Mumewe  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein  baada ya kuteuliwa tena na Kamati Kuu ya CCM  Taifa kugombea  Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili kupitia CCM,[Picha na Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Wazee wa CCM alipowasili  katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume kwa ndege ya Serikali akitokea Dodoma leo baada ya kuteuliwa tena na Kamati Kuu ya CCM Taifa  kugombea  Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili kupitia CCM,[Picha na Ikulu.]

 Wananchi na wanachama wa CCM mbali mbali wakimshangilia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein waliojitokeza  katika Barabara ya Michenzani kwa mapokezi makubwa wakati akitokea Dodoma leo baada ya kuteuliwa tena na Kamati Kuu ya CCM  Taifa kugombea  Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili kupitia CCM,[Picha na Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia mkono Wananchi na wanachama wa CCM mbali mbali   waliojitokeza  katika Barabara ya Michenzani kwa mapokezi makubwa wakati akitokea  Dodoma leo baada ya kuteuliwa tena na Kamati Kuu ya CCM  Taifa kugombea  Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili kupitia CCM,[Picha na Ikulu.]
 Hivi ndivyo walivyokuwa wanachama na wananchi wapenda amani kwa mapokezi ya  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein katika barabara ya maeneo ya Michenzani kuelekea Ofisi ya CCM Kisiwandui akitokea Dodoma leo baada ya kuteuliwa tena na Kamati Kuu ya CCM  Taifa kugombea  Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili kupitia CCM,[Picha na Ikulu.]
 Umati wa Wanachama wa CCM na Wananchi wapenda amani waliojitokeza kwa mapokezi makubwa  ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein katika barabara ya maeneo ya Michenzani kuelekea Ofisi ya Kuu ya CCM Kisiwandui  akitokea Dodoma leo baada ya kuteuliwa tena na Kamati Kuu ya CCM  Taifa kugombea  Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili kupitia CCM,[Picha na Ikulu.]

 Umati Mkubwa wa Wanachama wa CCM na Wananchi wapenda amani waliojitokeza kwa mapokezi makubwa  ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein katika barabara ya maeneo ya Michenzani kuelekea Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui  akitokea Dodoma leo baada ya kuteuliwa tena na Kamati Kuu ya CCM  Taifa kugombea  Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili kupitia CCM,[Picha na Ikulu.]

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakisalimiana na Wazee wa CCM walipofika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja leo wakitokea Dodoma katika Mkutano Mkuu Maalum 2015 uliomteuwa kugembea tena nafasi ya Urais wa Zanzibar kutia CCM, [Picha na Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiwa na Viongozi na wazee wa CCM wakimuombea dua marehemu Mzee Abeid karume katikakaburi lake huko Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja leo akitokea Dodoma katika Mkutano Mkuu Maalum 2015 uliomteuwa kugembea tena nafasi ya Urais wa Zanzibar kutia CCM, [Picha na Ikulu.]
 /Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na wananchi na wanachama wa CCM katika viwanja vya CCM Kisiwandui Mjini Unguja leo akitokea Dodoma katika Mkutano Mkuu Maalum 2015 uliomteuwa kugembea tena nafasi ya Urais wa Zanzibar kutia CCM, [Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na wananchi na wanachama wa CCM katika viwanja vya CCM Kisiwandui Mjini Unguja leo akitokea Dodoma katika Mkutano Mkuu Maalum 2015 uliomteuwa kugembea tena nafasi ya Urais wa Zanzibar kutia CCM, [Picha na Ikulu.]

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª