Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akihutubia wananchi wa Mji mdogo wa Mererani, wakati wa hafla ya
kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Barabara ya Kia-Mererani yenye
Kilometa 26. Hafla hiyo imefanyika leo Julai 30, 2015. Picha na OMR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Pombe Magufuli, na baadhi ya viongozi
wakifunua kitambaa kwa pamoja kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi
wa Barabara ya Kia-Mererani, wakati wa hafla fupi iliyofanyika mji mdogo
wa Mererani, leo Julai 30, 2015. Picha na OMR

wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Pombe Magufuli na baadhi ya Viongozi,kwa
pamoja wakikata utepe kuashiria kuzindua rasmi harakati za ujenzi wa
Barabara ya Kilometa 26 ya Kia-Mererani, wakati wa hafla hiyo
iliyofanyika mji mdogo wa Mererani leo Julai 30, 2015. Picha na OMR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akivishwa vazi la kabila la Masai na Kiongozi wa Mila ya Laibuwanani,
Kisota Lengitambi, wakati wa hafla hiyo ya uwekaji wa Jiwela Msingi la
Ujenzi wa Barabara ya Kia-Mererani. leo julai 30, 2015. Picha na OMR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa makabila mawili
makubwa ya Kimasai baada ya kumvisha vazi hilo. Picha na OMR
Dkt. Bilal akiagana na viongozi hao wa kabila la Masai.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akipanda mti wa kumbukumbu baada ya kuweka Jiwe la Msingi la
Ujenzi wa Barabara ya Kia- Mererani, leo Julai 30, 2015. Picha na OMR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi. Picha na OMR
Waziri
wa Ujenzi, Dkt. John Magufuli, akizungumza kabla ya kumkaribisha Mgeni
rasmi, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed
Gharib Bilal. Picha na OMR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Magufuli, wakicheza sambamba na kinamama wa
kabila la Kimasai wakati wakifurahia ngoma ya Kimasai kwenye hafla ya
uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Barabara ya Kia-Mererani, leo
Mkoani Manyara. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Magufuli, wakifurahia ngoma ya asili
kwenye hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Barabara ya
Kia-Mererani, leo Mkoani Manyara. Picha na OMR
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269