.

MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MBAGALA MWINCHUM ACHUKUWA FOMU

Jul 17, 2015

Mgombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Mbagala kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Mwinchum Msomi  akisalimiana na mgombea Ubunge kupiti chama hicho Dk. Faustine Ndugulile anaye tetea Jimbo lake walipokutana Ofisi za chama hicho Wilayani  Temeke Dar es Salaam jana (PICHA NA KHAMISI MUSSA)
Mgombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Mbagala kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Mwinchum Msomi, akimkabidhi Pesa  Katibu Umoja wa Vijana Wilaya ya Temeke Yona Sengerema , kwaajili ya malipo ya uchukuaji wa  fomu.
 Mgombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Mbagala kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Mwinchum Msomi, akisaini fomu mbalimbali mbele ya   Katibu Umoja wa Vijana Wilaya ya Temeke Yona Sengerema.

Katibu wa Umoja wa Vijana wilaya ya temeke akimkabidhi Fomu  Mgombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Mbagala kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Mwinchum Msomi alipofika ofisini hapo Dar es Salaam jana kuchukua fomu hizo.

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª