.

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA MODENAIZESHENI YA SEKTA YA MIFUGO

Jul 20, 2015

1
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini kwenye jarida la Mpango wa Modenaizesheni 
ya Sekta ya Mifugo baada ya kuuzindua mpango huo leo Jumatatu Julai 20, 2015
2
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini kwenye jarida la Mpango wa Modenaizesheni 
ya Sekta ya Mifugo baada ya kuuzindua mpango huo leo Jumatatu Julai 20, 2015
3
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha na maafisa waandamizi wa Wizara ya Mifugo baada ya kuzindua 
 Mpango wa Modenaizesheni  ya Sekta ya Mifugo leo Jumatatu Julai 20, 2015
4
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na jamii ya wafugaji wa kabila la Kimaasai
 baada ya kuzindua  Mpango wa Modenaizesheni  ya Sekta ya Mifugo leo Jumatatu Julai 20, 2015. 
5
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na jamii ya wafugaji wa kabila la Kimaasai
 baada ya kuzindua  Mpango wa Modenaizesheni  ya Sekta ya Mifugo leo Jumatatu Julai 20, 2015. 
Pamoja naye ni Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya Mhe. Raila Odinga ambaye yupo nchini kwa ziara binafsi.
6
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipena mikono na Dkt. Kaush Arha baada ya kuongea katika 
uzinduzi wa  Mpango wa Modenaizesheni  ya Sekta ya Mifugo leo Jumatatu Julai 20, 2015. 
7
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua Mpango wa Modenaizesheni  ya Sekta ya Mifugo leo Jumatatu Julai 20, 2015. 
8
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipatiwa maelezo kuhusu miradi ya maendeleo ya Wizara ya 
Mifugo kutoka kwa mmoja wa maafisa waandamizi wa wizara hiyo wakati  Mpango wa Modenaizesheni  
ya Sekta ya Mifugo leo Jumatatu Julai 20, 2015. hata hivyo Rais alionesha kutofurahishwa na utendaji wa 
Wizara hiyo na kuwataka watendaji wake wabadilike kimawazo kwa kutenda kazi kwa njia za kisasa
ili kuiendeleza sekta hiyo muhimu kwa haraka.
PICHA NA IKULU

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช