Kitengo chaMawasiliano na Umma katika Idara ya Itikadi na Uenezi, kinapenda kuujulisha uuma kwamba Akaunti yenye maneno hayo hayo hapo juu siyo ya Katibu wa NEC, Itikadi na Unezi Nape Nnauye, bali akaunti hiyo imetengenezwa na watu ambao tunaweza kuwaita kuwa ni wahuni kwa lengo la kutaka kukata kiu ya wanachojitaji. Mtakaoisoma taarifa hiyo eleweni kuwa si maneno ya Nape. Tabia hiyo siyo ya kiungwana na ya kimaadili katika matumizi ya mitandao ya Kijamii, ni vema wanaopenda tabia hii waiache kwa manufaa ya Tanzania.
Your Ad Spot
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot

No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269