.

YANGA WAKIWASILI UWANJA WA TAIFA KUIVAA KMKM

Jul 25, 2015

Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mbrazil, Andrey Coutinho akishuka kwenye basi la Yanga muda mfupi uliopita tayari kwa mechi ya saa 10:00 dhidi ya KMKM ya Zanzibar
Yanga wakiwasili 1
Nahodha wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ (mbele) na Haruna Niyonzima (nyuma yake) wakielekea vyumba vya kubadilishia nguo tayari kwa kipute cha Kombe la Kagame dhidi ya KMKM
Yanga wakiwasili 2
Joseph Zuttah kushoto anaanzia benchi leo
Yanga wakiwasili 5
Kocha msaidizi wa Yanga na kocha mkuu wa Taifa Stars, Charles Mkwasa atakuwa kwenye benchi la ufundi akimsaidia mkuu wake, Mholanzi, Hans van der Pluijm.
Yanga wakiwasili 4

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช