Breaking News

Your Ad Spot

Aug 23, 2015

BONDIA IBRAHIMU CLASS ‘KING CLASS MAWE’ AMDUNDA ALLY MUHURO KWA T.K.O YA RAUNDI YA TATU


Bondia Ibrahimu Class ‘King Class Mawe’ kulia akimshambulia kwa makonde mazito Ally Muhuro wakati wa mpambano wao ulifanyika siku ya jumamosi Class alishinda kwa T.K.O ya raund ya tatu .
Bondia Ibrahimu Class ‘King Class Mawe’ kushoto akimtupia konde mpinzani wake Ally Muhuro wakati wa mpambano wao uliofanyika jumamos Class alishinda kwa T.K.O raundi ya tatu.
Bondia Ibrahimu Class ‘King Class Mawe’ kushoto akimtupia konde mpinzani wake Ally Muhuro wakati wa mpambano wao uliofanyika jumamos Class alishinda kwa T.K.O raundi ya tatu .
Bondia Rojas Massamu kushoto akipambana na Subea Chube wakati wa mpambano wao Massamu alishinda kwa K,O ya raundi ya nne

Bondia Awadhi Faraji kushoto akipambana na Shomari Mirundi wakati wa mpambano wao Mirundi alishinda kwa .K.O ya raundi ya pili .

 
Bondia Kelvin Majiba kushoto akipambana na Vicent Mbilinyi wakati wa mpambano wao uliofanyika katika viwanja vya shule ya Uhuru kariakoo Dar es salaa Mbilinyi alishinda kwa point .
 

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages