Kwa nini waanze kutaka kutuingiza kwenye migogoro ya nchi jamani? Uwanja wa Kuzindua Kampeni Wapeni tuone jeuri yao UKAWA.Kama ni ushindani wa kisiasa ufanywe kistaarabu kama mnanavyohotubia amani kwenye majukwaa. Kamwe Hatutaki TANZANIA YENYE VITA.CCM, UKAWA na vyama Vyote dumisheni AMANI, Tunaomba wana CCM tusiwe chanzo cha VURUGU NCHINI.
Meneja Programu Mfuko wa vyombo vya habari Tanzania (TMF) Ernest Sungura (L), akimkabidhi tuzo ya mpigapicha bora Tanzania 2011, Bashir Nkoromo, baada ya kushinda tuzo hiyo katika sherehe ya kutangaza washindi wa Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari (EJAT), Mlimani City, Dar es Salaam.
1 Comments:
Kwa nini waanze kutaka kutuingiza kwenye migogoro ya nchi jamani? Uwanja wa Kuzindua Kampeni Wapeni tuone jeuri yao UKAWA.Kama ni ushindani wa kisiasa ufanywe kistaarabu kama mnanavyohotubia amani kwenye majukwaa. Kamwe Hatutaki TANZANIA YENYE VITA.CCM, UKAWA na vyama Vyote dumisheni AMANI, Tunaomba wana CCM tusiwe chanzo cha VURUGU NCHINI.
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269