.

RAIS KIWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO , AFUNGUA MKUTANO WA WANASHERIA WA SADC

Aug 21, 2015

in1
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati za utambulisho kutoka kwa balozi mpya wa India nchini Tanzania Mhe.Sandeep Aryai ikulu jijini Dar es Salaam leo.
in3
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifungua Mkutano wa 16 wa mwaka wa Chama Cha Wanasheria wa Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika SADC uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere(JNICC) jijini Dar es Salaam leo.(picha na Freddy Maro).
in5
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisisitiza jambo wakati akifungua Mkutano huo.

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช