Selemani
Rashidi, Namba msaada kwa yeyote anisaidie niweze kufanyiwa matibabu
kwa kinyama kilicho jitokeza kichwani mwangu toka nilipo zaliwa.
Selemani Rashidi, anapoishi na mama yake mzazi
Selemani Rashidi (kushoto),
akiwa na mama yake mzazi pichani, ambaye alisimulia mkasa mzima wa
mwanaye, alizaliwa akiwa mzima na baada ya kuzaliwa alipatwa na matatizo
ya ugonjwa wa Degedege na alimpeleka kwa mganga wa kienyeji na kupona
matatizo hayo na ndipo kikaota kipele kichwani cheusi na kikawa kinakuwa
na kushikana na sikio, kutokuwa na uwezo wa kipesa hakuweza mpeleka
popote, Baba yake yapata Miaka kumi na tano toka afariki na ukizingatia
ni pesa inayo hitajika, hayo yalisemwa na mama yake mzazi ambaye anaitwa
Zamda Kibosha, wakiwa wamekaa kwao maeneo ya kitongoji cha Lugongoni,
(A) Kataa ya Nguruka Wilaya ya Uvinza Mkoa wa Kigoma, Mama yake
anasema mwanaye baada ya kuota kinyama hicho, kauli kutoka ni kwa shida,
akijibu maramoja harudii tena kuongea na chooni anakwenda mwenyewe na
kula anakula kama kawaida, mama anaomba kwa mtu yoyote mwenye kuona na
kusia anaomba msaada wa hali na mali ili mwanaye apate matibabu, kwa
mawasiliano mwenye chochote kitumwe kwenye namba 0687946492, Mariam
Hamza Thabiti, Nguruka kigoma. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA) Mmiliki wa ujijirahaa blo.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269