.

USAIN BOLT BINGWA WA DUNIA WA MBIO ZA MITA 100

Aug 23, 2015

Bingwa wa dunia wa mbio za matimko za mita 100,Usain Bolt wa Jamaica, amewapiku wapinzani wake na kuhifadhi taji la dunia mbele ya umati mkubwa uliojitokeza kushuhudia fainali hiyo katika uwanja wa kimataifa Birds Nest Beijing China

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช