Mwanaharakati
wa kutetea wanawake na mgombea Ubunge wa Jimbo la Segerea kupitia Chama
Cha Mapinduzi (CCM), Bonah Kaluwa (kulia), akizungumza na wanawake
wakati akifungua kampeni ya kupinga ukatili wa jinsia dhidi ya wanawake
katika Soko la Tabata Muslim lililopo mtaa wa Msimbazi, Dar es Salaam
leo. Kutoka kushoto ni Mjumbe wa mtaa huo, Tatu Lazaro na Mwenyekiti wa
mtaa huo, Beatries Mkama.
Mgeni rasmi Bonah Kaluwa akiwa katika picha ya pamoja na wanawake wapinga ukatili wa kijinsia wa Tabata Muslim.Mgeni rasm akiondoka eneo la mkutano.Wasanii wa kundi la Machozi wakitpoa burudani katika uzinduzi huo.Maofisa
wa Shirika la Equality for Growth (EfG), wakiwahamasisha wananchi
kujaza fomu za kuwa mabalozi wa kampeni ya kupinga ukatili wa kijinsia
dhidi ya wanawake masokoni.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269