Umati
wa wanaCCM na wapenzi wa chama hicho ukiwa umefurika katika uwanja wa
Sabasaba Mjini Nachingwea kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa
Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu.
|
Sehemu
ya wanaCCM na wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni wa mgombea
mwenza nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia
Suluhu kwenye Uwanja wa Nangwanda Jimbo la Liwale.
|
AKIZUNGUMZA
na wananchi katika mikutano hiyo mgombea mwenza Bi. Samia Suluhu
alisema licha ya ilaya ya Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuonesha
kulenga kuboresha maisha ya wananchi haswa akinamama na vijana kupitia
vikundi anuai, alisema Serikali itakayoundwa na CCM endapo ikifanikiwa
kurudi madarakani itahakikisha inaweka utaratibu wa kupima ardhi na
kuigawa kwa wananchi ili kuwaandalia hati za kawaida na zile za kimila
kwa vijijini. Alisema utaratibu huu utawawezesha wananchi kuwa na
dhamana katika mikopo na kuweza kujiendeleza kwa shughuli zao za
kiuchumi. Aliongeza licha ya zoezi la upimaji na utoaji hati kuwa na
manufaa kwa wananchi aliongeza kuwa litapunguza migogoro ya ardhi kati
ya pande anuai na matumizi tofauti jambo ambalo lilikuwa kikwazo hapo
awali. "...Tutapima maeneo na kutoa hati za kimila na Serikali ili
wananchi waweze kutumia kama dhamana katika mikopo, hizi zitasaidia
wananchi kupata fedha za kujiendeleza," alisema. Akizungumzia soko la
korosho alisema Serikali imekisikia kilio cha wananchi juu ya utaratibu
wa stakabadhi ghalani hivyo kuwaahidi kulifanyia kazi suala hilo. Mambo
mengine ambayo Bi. Samia Suluhu aliahidi kuyashughulikia ni pamoja na
huduma za maji safi na salama kuzijenga barabara za kuingia na kutoka
katika Wilaya hizo za Nachingwea na Liwale kwa kiwango cha lami kwa
awamu na kuboresha elimu. Bi. Samia anaendelea na ziara yake katika Mkoa
wa Lindi na anatarajia kuanza ziara hiyo mkoa wa Mtwara leo jioni,
kuendelea kuinadi ilani ya Chama Cha Mapinduzi.
|
Sehemu
ya wanaCCM na wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni wa mgombea
mwenza nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia
Suluhu kwenye Uwanja wa Nangwanda Jimbo la Liwale. |

Mgombea
mwenza wa nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia
Suluhu akihutubia kwenye Uwanja wa Nangwanda Jimbo la Liwale jana. |
|
Mgombea
mwenza wa nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia
Suluhu akihutubia kwenye Uwanja wa Nangwanda Jimbo la Liwale jana. |
|
Umati
wa wanaCCM na wapenzi wa chama hicho ukiwa umefurika katika uwanja wa
Sabasaba Mjini Nachingwea kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa
Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu. |

Mgombea ubungea wa Jimbo la Nachingwea akizungumza na wanaCCM na wananchi wengine katika uwanja huo. |
|
Aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Nkenge, Asumpta Mshama akizungumza katika mkutano wa kampeni jana. |
|
Meza
kuu ya mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa CCM mjini Nachingwea.
Kulia ni mgombea wa ubunge Jimbo la Nachingwea Hassan Elias Masala akiwa
na mgombea mwenza. *Imeandaliwa na www.thehabari.com |
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269