Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduuzi Dk.Ali Mohamed Shein
akizungumza na mgeni wake Balozi wa Qatar katika Jamhuri ya Muunfano wa
Tanzania Abdulla Jassim Al Maadad alipofika Ikulu Mjini Zanzibar .[Picha na Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduuzi Dk.Ali Mohamed Shein
akiagana na Balozi wa Qatar katika Jamhuri ya Muunfano wa Tanzania
Abdulla Jassim Al Maadad alipofika Ikulu Mjini Zanzibar baada ya
mazungumzo yao.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269