Wananchi wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, alipozungumza na walipozuia msafara wake njiani, katika eneo la Makonga wilayani Newala, wakati akieda kuhutubia mkikutano ya kampeni katika jimbo la Newala Vijijini mkoani Mtwara leo
Wananchi wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama
Samia Suluhu Hassan, alipozungumza na walipozuia msafara wake njiani,
katika eneo la Makonga wilayani Newala, wakati akieda kuhutubia
mkikutano ya kampeni katika jimbo la Newala Vijijini mkoani Mtwara leo
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mgombea Ubunge Jimbo la Newala mjini, Georgea Mkuchika, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Newala Vijijini.
Shamrashamra zikitawala katika kutano wa kampeni uliofanywa na Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia katika jimbo la Newala Vijijini mkoani Mtwara leo
Wazee Maarfu wakiwa kwenye mkutano wa kampeni wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia katika jimbo la Newala Vijijini mkoani Mtwara leo
Mgombea Ubunge jimbo la Newala Vijijini, Rashid Akbar akiomba kura baada ya kunadiwa na Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo hilo leo
Waaandishi wa habari waliopo katika msafara wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama samia wakifuatilia hali ya mambo katika mkutano wa kampeni uliofanyika Newala Vijijini leo
Mkuu wa mkoa wa Mtwara, Halima Dedegu akiwahutubia wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Newala Vijijini mkoani humo, ambapo aliwahakikishia wananchi kuwa dola katika mkoa huo ipo imara kuhakikisha amani na utulivu vinatawala wakati wa hatua zote za uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 25, mwaka huu
Vijana wa CCM wakijadili jambo wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika jimbo la Newala Vijijini
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo la Newala Vijijini leo. Pamoja na kutangaza utekelezwaji wa Ilani ya CCM utakavyofanywa na Serikali ya awamu ya tano ikiingia madarakani, pia alisema, CCM ipo tayari kwa mdahalo na Ukawa mda wowote, akisisitiza kuwa mdahalo huo uwe baina ya wagombea Urais tu
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akionyesha kitabu cha Ilani ya CCM, wakati wa mkutano wa kampeni ulilofanyika leo katika jimbo la Newala Vijijini mkoani Mtwara
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassani akimnadi Mgombea Ubunge jimbo la Newala Mjini, George Mkuchika wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo la Newala Vijijini leo
Wananchi wakishangilia wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika jimbo la Newala Vijijini leo
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM,Mama Samia Ssuluhu Hassan akimnadi Mgobea Ubunge jimbo la Newala Vijijini, Rashid Akbar Murtaza katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo hilo
Wagombea Udiwani katika jimbo la Newala Vijijini wakionyesha mikono walipotambulishwa na Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo hilo leo. Kushoto ni Mjumbe wa kampeni za mgombea mwenza wa Urais Mama Samia, Angela Kizigha
Kina Mama wakimpatia zwadi Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Newala Vijijini mkoani Mtwara.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika jimbo la Newala mjini leo
Wananchi wakiahidi kuipigia kura CCM, Wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Newala mjini mkoani Mtwara
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama samia Suluhu Hassani akihtubia wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Newala mjini mkoani Mtwara
Umati wa wananchi katika mkutano huo
Vijana wakiwa katika shamrashamra wakati wa mkutano huo
Mbunge anayesubiri kuapishwa baada ya kupita bila kupingwa katika jimbo la Nanyamba, mkoani Mtwara, Abdallah Chikota, akimuombea Kura mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo hilo
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia akihutubia wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika jimbo la Nanyamba, leo
Kijana akiwa amejinakshi kuhamasisha mkutano wa kampeni uliofanyika jimbo la Mtwara Vijini leo
Mgobea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, akipokea kadi za vyama vya upinzani baada ya vijana kutoka vyama hivyo kuamua kuhamia CCM wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika jimbo la Mtwara Vijini leo
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akimnadi Mgombea Ubunge jimbo la Mtwara Vijijini, Hawa Ghasia wakati wa kutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo hilo leo
Your Ad Spot
Sep 17, 2015
Home
Unlabelled
KITMTIMU CHA KAPENI ZA MAMA SAMIA MTWARA, ASEMA CCM IPO TAYARI KWA MDAHALO NA LOWASSA WAKATI WOWOTE
KITMTIMU CHA KAPENI ZA MAMA SAMIA MTWARA, ASEMA CCM IPO TAYARI KWA MDAHALO NA LOWASSA WAKATI WOWOTE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269