Breaking News

Your Ad Spot

Sep 4, 2015

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA MASHAURIANO YA WAWAKILISHI WA KAMATI YA KUDUMU YA UMOJA WA AFRIKA (AU) NA WATAALAMU WA HAKI NA SHERIA, JIJINI ARUSHA.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na baadhi ya Viongozi wa Kamati ya Kudumu ya Umoja wa Afrika( AU) wakati alipokuwaakiwasili kwenye Hoteli ya Mount Meru Jijini Arusha kwa ajili ya kufungua Mkutano wa Mashauriano kati ya Wawakilishi wa
Kamati ya Kudumu ya Umoja waAfrika( AU) na Wataalamu wa Masuala ya Haki na Sheria, uliofanyika kwenyeHoteli hiyo uliokuwa ukijadili kuhusu kuimarisha demokrasi, utawala wa sheria na masuala ya uchaguzi. Wa
tatu (kulia) ni Jaji Mkuu Mstaafu Agustino Ramadhan.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wakati akifungua Mkutano wa Mashauriano kati ya Wawakilishi wa Kamati ya Kudumu ya Umoja wa Afrika( AU) na Wataalamu wa Masuala
ya Haki na Sheria, uliofanyika kwenye Hoteli ya Mount Meru jijini Arusha jana
Sept 2, 2015 ambao ulikuwa ukijadili kuhusu kuimarisha demokrasi, utawala wa sheria na masuala ya uchaguzi.
Baadhi ya washiriki wa Mkutano huo wakimsikiliza Makamu wa Rais, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, wakati akihutubia.
Baadhi ya washiriki wa Mkutano huo wakimsikiliza Makamu wa Rais, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, wakati akihutubia.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal (kulia)
akiteta jambo na Rais wa Mahakama ya Afrika, Jaji Mkuu Mstaafu, Agustino Ramadhan,
wakati wa ufunguzi wa Mkutano huo wa Mashauriano kati ya Wawakilishi wa Kamati ya Kudumu ya Umoja wa Afrika( AU) na Wataalamu wa Masuala ya Haki na Sheria, uliofanyika kwenye Hoteli ya Mount Meru jijini Arusha jana
Sept 2, 2015 ambao ulikuwa ukijadili kuhusu kuimarisha demokrasi, utawala wa sheria na masuala ya uchaguzi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal (kulia)
akikabidhiwa zawadi na Rais wa Mahakama Afrika Jaji Mkuu Mstaafu, Agustino Ramadhan,
wakati wa ufunguzi wa Mkutano huo wa Mashauriano kati ya Wawakilishi wa Kamati ya Kudumu ya Umoja wa Afrika( AU) na Wataalamu wa Masuala ya Haki na Sheria, uliofanyika kwenye Hoteli ya Mount Meru jijini Arusha jana
Sept 2, 2015 ambao ulikuwa ukijadili kuhusu kuimarisha demokrasi, utawala wa sheria na masuala ya uchaguzi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Rais
wa Mahakama ya Afrika, Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Agustino Ramadhan,
wakisalimiana na baadhi ya washiriki wa mkutano huo baada ya kufunguliwa rasmi
jana jijini Arusha.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Rais wa
Mahakama Afrika, Jaji Mkuu Mstaafu, Agustino Ramadhan, wakiwa katika picha ya
pamoja na baadhi ya washiriki wa mkutano huo kutoka mataifa mbalimbali ya
Afrika baada ya ufunguzi jana jijini Arusha.
Makamu wa Rais Dkt. Bilal (kulia) na Rais wa Mahakama Afrika, Jaji Mkuu Mstaafu, Agustino Ramadhan.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages