Breaking News

Your Ad Spot

Sep 15, 2015

MAMA SAMIA NA NAPE WAFANYA KAMPENI ZA KISHINDO JIMBO LA MTAMA MKOANI LINDI LEO

 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akimkaribisha Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia suluhu Hassan alipowasili kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika eneo la Nyangao jimbo la Mtama mkoani Lindi. Nape pia ni Mgomea Ubunge wa Jimbo hilo kwa tiketi ya CCM.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia akisalimiana na Mgombea Ubunge jimbo la Mchinga, Said Mtanda alipowasili kwenye mkutano wa kampeni wa CCM uliofanyika eneo la Nyangao jimbo la Mtama leo. Anayetambulisha ni Mgombea Ubunge wa jimbo hilo Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye
 Kativu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akitambulisha baadhi ya viongozi wa CCM kwa Mama Samia baada ya kuwasili kwenye mkutao wa kampeni uliofanyika leo eneo la Nyangao katika jimbo la Mtama mkoani Lindi.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akisindikizwa na Mgombea Ubunge jimbo la Mtama, Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi, Napa Nnayue alipowasili katika eneo la Nyangao kwenye jimbo hilo kuhutubia mkutano wa kampeni.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia akiwasalimia wananchi alipowasili kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Mtama mkoani Lindi
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia akiwasalimia wananchi alipowasili kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Mtama mkoani Lindi
Wasanii wa Bongo Movie, wakimfurahia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan alipowasili kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika eneo la Nyangao jimbo la Mtama mkoani Lindi.
 Mgomea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akishauriana jambo na Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM jimbo la Mtama, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika eneo la Nyangao katika jimbo hilo mkoani Lindi leo
Msanii wa kuiga sauti za viongozi, Steve Nyerere akimuombea kura Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, John Magufuli katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika eneo la Nyangao jimbo la Mtama mkoani Lindi
Mgombea Ubunge jimbo la Mtama, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akihutubia mkutano wa kampeni, uliofanyika leo katika eneo la Nyangao mkoani Lindi leo
 Baadhi ya waliooomba ridhaa ya CCM kugombea Ubunge jimbo la Mtama pamoja na Katibu wa NEC, Itikadi na uenezi Nape Nnauye (wapili kushoto), wakiwa na Nape jukwaani kuhibitisha kufuta makundi yao na kuwa timu moja ya kusaka ushindi wa CCM, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika eneo la Nyangao jimboni humo mkoani Lindi leo. anayezungumza ni Janeth Mayanja na wengine kutoka kulia ni Ismail Mbani na Maliki Maliki.
Wananchi wakimshangilia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan alipohutubia mkutano wa kampeni uliofayika leo katika jimbo la Mtama mkoani Lindi.
Msanii wa Bongo Movie, Wema Sepetu akiwasalimia wananchi alipopanda jukwaani kumuombea kura Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Mtama mkoani Lindi
 Msanii wa Bongo Movie, Snura akiimba wimbo wa kuifagilia CCM, wakati waigizaji wa fani hiyo, wakiongozwa na Wema Sepetu waliposhiriki kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika leo eneo la Nyangao, katika jimbo la Mtama mkoani Lindi.
Msanii wa Bongo Movie, Wema Sepetu akimuombea kura Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Mtama mkoani Lindi
Mgobea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassani akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Mtama mkoani Lindi
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassani akimnadi Mgombea Ubunge jimbo la Mtama, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, pamoja na wagombea Udiwani katika jimbo hilo, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyka leo eneo la Nyangao mkoani Lindi
Wananchi wakiwa kwenye mkutano huo
Mgombea Ubunge jimbo la Mtama, Katibu wa NEC, Itkadi na Uebezi, Nape Nnauye akiomba kura wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo hilo mkoani Lindi
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassani akimkabidhi Ilani ya Uchaguzi, Mgombea Ubunge jimbo ka Mtama, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye baada ya kumnadi kwa wananchi leo kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo hilo mkoani Lindi
 Mgombea Ubunge jimbo la Nachingwea Hassani Masala, akiomba kura katika mkutano wa kampeni wa Mama samia uliofanyika jana, katika jimbo hilo mkoani Lindi.
 Wananchi wakishangilia, mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia suluhu Hassan alipohutubia mkutano wa kampeni katika jimbo la Nachingwea mkoani Lindi jana
 Aliyekuwa Mbunge wa Nachingwea Mathias Chikawe (Kushoto) akiwa kwenye mkutao wa kampeni wa Mama Samia uliofanyika jana, katika jimbo la Nachingwea mkoani Lindi jana. Wapili ni Mumbe wa NEC wa Lindi Fadhili Liwaka.
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Hassan Suluhu akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika jana katika jimbo la Nachingwea mkoani Lindi
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama samia Suluhu Hassan alizungumza na wananchi waliosimamisha msafara wake katika eneo la Nangumba, wakati akiwa njiani kwenda jimbo la Mtama mkoani Luangwa kufanya mkutano wa kampeni leo.
 Mbunge wa Ubunge jimbo la Ruangwa, KassimMajaliwa, akihutubia mkutano wa kampeni, uliofanyika leo katika jimbo hilo mkoani Lindi.
 Mjumbe wa NEC, Fadhli Liwaka, akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Ruangwa mkoani Lindi leo.
Mjumbe wa NEC, Fadhli Liwaka, akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Ruangwa mkoani Lindi leo.
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo la Ruangwa mkoani Lindi leo
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akimnadi Mgombea Ubunge jimbo la Ruangwa, Kassim Majaliwa na wagombea Udiwani katika jimbo hilo, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo
 Aliyekuwa Mwanachama wa CUF, Tabia Athumani akimkabishi kadi ya Chama hicho, Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassani baada ya kutangaza kuhamia CCM, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo la Ruaangwa mkoani Lindi leo
 Wananchi wakizungau msafara wa mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia Suluhu Hassan wakati akitoka jimbo la Ruangwa kwenda kufanya mkutano wa kampeni katika jimbo la Mtama leo
Bango lililowekwa barabarani kumuaga Mama Samia wakati akitoka jimbo la Ruangwa kwenda Mtama leo mkoani Lindi leo. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages