Mgombea
Urais wa Zanzibar Kupitia CCM Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa
CCM Zanzibar Ndg Vuai Ali Vuai alipowasili katika viwanja vya mkutano
vya Chokocho Wilaya ya Mkoani Pemba kwa ajili ya kampeni yake kwa
wananchi wa Jimbo hilo la Mkoani.
Mgombea
Urais wa Zanzibar kupitia CCM Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Ali
Mohamed Shein, akiwa na Viongozi wa Siasa jukwaa kuu baada ya kuwasili
katikac viwanja hivyo kwa ajili ya mkutano wake wa Kampeni katika
viwanja vya mpira Black Wizard Chokocho Wilaya ya Mkoani Pemba.
Wanachama
wa CCM wakimshangilia Mgombea Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein,
alipowasili katika viwanja vya Mkutano wake wa Kampeni Jimbo la Mkoani
Pemba.
Wanachama
wa Chama cha Mapinduzi wakiwa katika viwanja vya mkutano wa Kampeni ya
Urais wa Zanzibar kupitia CCM katika viwanja vya Mpira Black Wizard
Chokocho Pemba ,
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndg Vuai Ali Vuai, akizungumza na Wananchi
wa Wilaya Mkoani Jimbo la Mkoani Pemba akiwatambulisha Viongozi
waliofuatana na Dk Shein wakati wa Mkutano wake wa Kampeni Pemba.Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi Pemba Mkoa wa Kaskazini Pemba Ndg Mberwa Hamad
Mberwa akizungumza wakati wa Mkutano huo wa Kampeni ya Urais wa Zanzibar
kupitia Chama cha Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269