Breaking News

Your Ad Spot

Sep 26, 2015

MTOTO AFARIKI KWA AJALI ENEO LAO UYOLE YA KATI JIJINI MBEYA.

Mtoto mwenye Umri usio zidi Miaka 16 hakuweza fahamika kwa jina kamili ambaye amepoteza maisha mara baada ya kugongwa na Gari eneo la Uyole ya Kati Jijini Mbeya, wakati alipo kuwa akijaribu  kuvuka Barabara kuelekea upande wa pili ghafla zikasikika breki za gari aina ya Prado yenye nambari za Usajiri T 807 DCA na kupelekea umauti kwa Kijana huyo hapo hapo.
Baadhi ya mashuhuda na wakazi wa Uyole wakiwa katika tukio.
Gari linalo sadikiwa kumgonga Mtoto huyo..
Eneo la Tukio likiwa limezungukwa na Wananchi wa Uyole ya kati..
PICHA NA FADHIRI ATICK-MR.PENGO MBEYA

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages