Msafara wa Mgombea Ubunge ukielekea viwanja vya mwembeYanga Dar es Salaam
Wafuasi wa Chama hicho wakiwa na mabango katika viwanja vya Mwembe Yanga walipokuwa wakingia katika viwanja hivyo
Mgombea Ubunge kupitia jimbo la Temeke Abbas Mtemvu akiweka saini katika kitabu cha Tawi la Uwanja wa Taifa Miburani Temeke na kupata taarifa fupi ya Shina la wakereketwa Toroka Uje.
Mgombea
Ubunge kupitia jimbo la Temeke Abbas Mtemvu akizindua Shina la
Wakereketwa la Toroka uje lililopo maeneo ua Uwanja wa Taifa
Mgombea
Ubunge kupitia jimbo la Temeke Abbas Mtemvu akiwasili katika viwanja
vya Mwembe Yanga Dar es Salaam wakati wa Uzinduzi wa kampeni
Mgombea Ubunge kupitia jimbo la Temeke Abbas Mtemvu akisalimiana na Makada wa chama hicho wakati wa Uzinduzi wa Kampeni
Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) akizindua Shina la Wakereketwa la Together camp
Mjumbe Shina la Wakereketwa la Together camp, Latifa Shohali akisoma risala kwa Mgombea Ubunge kupitia CCM, Abbas Mtemvu kabla ya kuanza Kwa kampeni
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Sandali Richald Mwitumba, akimnadi kwa Wanachama wa kata hiya Mgombea Ubunge Abbas Mtemvu
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Sandali Richald Mwitumba, akimnadi kwa wananchi wa kata ya Sandali Mama Mtemvu
Mama Mtemvu akisalimiana na Madiwani wakati wa Uzinduzi
Mgombea Ubunge Jimbo la Temeke, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abbas Mtemvu (kulia), akisalimiana na makada wa chama hicho
Inspekta Harun akitowa burudani wakati wa kampeni viwanja vya Mwembe Yanga
Mashauz, Mwimbaji Bora wa Kike Taarab: Isha Mashauzi. akitoa burudani wakati wa Uzindua wa mkutano wa kampeni ya kugombea nafasi ya Ubunge
uliofanyika viwanja vya Mwembe Yanga Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Chama hicho Ahmad Mnamala akifungua
mkutano wa kampeni ya kugombea nafasi Ubunge uliofanyika viwanja vya Mwembe Tanga
mkutano wa kampeni ya kugombea nafasi Ubunge uliofanyika viwanja vya Mwembe Tanga
Madiwani
Mgombea
nafasi ya Udiwani Kata ya Kilakala Amiri Osama katika picha ya pamoja
na wanacha na wana familia, ambapo kulia kwake ni mwanachama wa chama
hicho Idrissa Petto, ambaye aliyewahi kushika vyeo mbalimbali CUF,
Katibu wa Tawi la Yombo Kilakala,Kaimu wa Katibu CUF.
Wamachama wa vyama mbali mbali wakirudisha kadi za vyama vyao wakati wa Uzinduzi wa mkutano wa kampeni ya kugombea nafasi hiyo uliofanyika
viwanja vya Mwembe Yanga Dar es Salaam. Wengine waliobaki ni wagombea
nafasi ya udiwani.
Wanachama wakisikiliza sera kwa umakini tokwa kwa mgombea Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM)
Sehemu ya wanachama wakimsikiliza mgombea Ubunge kwa makini
Mgombea
Ubunge Jimbo la Temeke, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abbas Mtemvu
akiwa jukwaani (wa tano kulia), akihutubia wananchi na wanachama wa
chama hicho wakati akizindua mkutano wa kampeni ya kugombea nafasi hiyo
uliofanyika viwanja vya Mwembe Yanga Dar es Salaam. Wengine waliobaki
ni wagombea nafasi ya udiwani.
Mgombea
Ubunge Jimbo la Temeke, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abbas
Mtemvu, akihutubia wananchi na wanachama wa chama hicho wakati akizindua
mkutano wa kampeni ya kugombea nafasi hiyo uliofanyika viwanja vya
Mwembe Yanga Dar es Salaam . Wengine kulia ni wagombea nafasi ya
udiwani.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269