Breaking News

Your Ad Spot

Oct 2, 2015

CHUI AKWAMA KWENYE CHUNGU AKISAKA MAJI


Chui mmoja aliyekuwa amesakamwa na kiu alijikuta kwenye shida zaidi baada ya kichwa chake kukwama kwenye chungu akijaribu kufikia maji. Chui huyo katika jimbo la Rajasthan, kaskazini mwa India alikwama kwenye chungu hicho kwa muda wa saa tano akijaribu kujinasua bila kufua dafu. Mwishowe, ilibidi maafisa wa huduma za wanyamapori kumtuliza na kutoa kutoa chungu hicho.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages