Chopa
aliyomo Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu
Hassan ikiwasili kwenye Viwanja vya Mulowo kuhutubia mkutano wa kampeni
leo katika jimbo la Mbozi mkoani Mbeya
Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan
akiwasalimia wananchi baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Mlowo
kuhutubia mkutano wa kampeni leo katika Viwanja vya Mlowo jimbo la Mbozi
mkoani Mbeya. Pamoja naye ni Mjumbe wa katai ya kampeni za CCM Kitaifa
Mwigulu chemba.
Wananchi
wakiwa wamefurika Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia
Suluhu Hassan alipowasili kuhutubia mkutano wa kampeni katika
viwanja vya Mlowo jimbo la Mbozi mkoani Mbeya
Wananchi wakimshangilia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama
Samia Suluhu Hassan alipowasili kuhutubia mkutano wa kampeni katika
viwanja vya Mlowo jimbo la Mbozi mkoani Mbeya
Wananchi wakimshangilia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama
Samia Suluhu Hassan alipowasili kuhutubia mkutano wa kampeni katika
viwanja vya Mlowo jimbo la Mbozi mkoani Mbeya
Mwananchi
akiwa ameweka kiunoni fomu ya kupiga kura inayoonyesha kumchagua
Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM,Dk. John Magufuli katika mkutano wa
kampeni uliofanyika katika Viwanja vya Mlowo jimbo la Mbozi mkoani
Mbeya
Mjumbe
wa Kamati ya Kampeni za CCM Kitaifa Mwigulu Nchemba akihutubia mkutano
wa kampeni uliofanyika leo katika viwanja vya Mlowo jimbo la Mbozi
mkoani Mbeya
Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akijadili
jambo na Mgomea Ubunge jimbo la Mbozi Godfrey Zambia katika mkutano wa
kampeni uliofanyika kwenye Viwanja vya Mlowo mkoani Mbeya leo
Mjumbe wa Kamati ya Kampeni za CCM Kitaifa Mwigulu Nchemba akihutubia
mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika viwanja vya Mlowo jimbo la
Mbozi mkoani Mbeya
Wasanii
wa Bongo Movie wanaunda kundi la kampeni za CCM la "Mama Ongea na
Mwanao", wakiwa katika mkutano wa kampeni wa Mgombea Mwenza wa Urais
kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan uliofanyika katika jimbo
la Mbozi mkoani Mbeya
![]() |
| Kada wa CCM Juliana Shonza akihutuia wananchi katika mkutano wa kampeni uliofayika katika jimbo la Mbozi mkoani Mbeya |
Kada wa CCM, Mtela Mwampamba akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Mbozi mkoani Mbeya
Wananchi
wakishangilia wakati wa mkutano wa kampeni wa mama Samia Suluhu Hassan
auliofanyika katika jimbo la Mbozi mkoani Mbeya
Mjumbe
wa Kamati ya kampeni za CCM, Mwigulu Nchemba akimuombea Kura mgombea
ubunge jimbo la Mbozi Godfrey Zambia katika mkutnaowa kampeni
uliofanyika katika jimbo hilo mkoani Mbeya.
Mjumbe wa Kamati ya kampeni za CCM, Mwigulu Nchemba akimuombea Kura
mgombea ubunge jimbo la Mbozi Godfrey Zambia katika mkutnaowa kampeni
uliofanyika katika jimbo hilo mkoani Mbeya.
Wananchi
wakimshangilia Mgombea Ubunge jimbo la Mbozi, Godfrey Zambia alipokuwa
akiomba kura katika mkutano wa kampeni uliofayika leo katika jimbo hilo
mkoani Mbeya
Mgombea
Ubunge jimbo la Mbozi mkoani Mbeya Godfre Zambi akiomba kura wakati wa
mkutao wa kampeni wa Mama samia uliofanyika katika jimbo hilo la
Mbozi mkoani Mbeya
Mjumbe
wa Kampeni za CCM Kitaifa, Mwigulu Nchemba, akiwa na mwanamuziki Ally
Choki wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika keo katika jimbo la
Mbozi, mkoani Mbeya leo. Kulia ni Kiongozi wa kundi la Mama Ongea na
mwanao, Steve Mengere maarufu kwa jina la Steve Nyerere, katika mkutano
wa kampeni uliofayika katika jimbo la Mbozi mkoani Mbeya
Mgombea
Ubunge jmbo la Mbozi Godfrey Zambi akiomba kutra baara ya kunadiwa na
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama samia Suluhu Hassan
akatika mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo hilo mkoani
Mbeya.
ananchi wakishangilia katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo la Mbozi mkoani Mbeya leo
Kiongozi
wa kundi lnalounda kikundi cha kampeni cha Mama Ongea na Mwano, Steve
Mengere akihutuba mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo Mbozi
mkoani Mbeya
Mgombea
Ubunge jimbo la Mbozi Godfrey Zambi akipiga push up wakati wa mkutano
wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la hilo mkoani Mbeya
Mjumbe
wa Kamati ya Kampeni za CCM na Mbunge wa Afrika Mashariki Angela
Kizigha akihutubia wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika
katika jimbo la Mbozi mkoani Mbeya
Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia
wananci katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika katika Viwanja
vya Mlowo jimbo la Mbozi mkoani Mbeya leo.( PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO)


























No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269