
Mshambuliaji
wa Manchester United, Wayne Rooney akimruka beki wa Manchester City,
Bacary Sagna katika mechi ya Ligi Kuu ya England jioni ya jana kwenye
Uwanja wa Old Trafford. Timu hizo zimetoka 0-0 na kufanya ligi kuendelea
kuwa na ushindani mkubwa
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269