Mratibu
wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la
Maendeleo (UNDP) nchini, Bw. Alvaro Rodriguez akipokea wageni nyumbani
kwake kwenye mnuso wa birthday ya miaka 70 ya Umoja wa Mataifa jijini
Dar.(Picha zote na Zainul Mzige wa Modewjiblog).
Mratibu
wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la
Maendeleo (UNDP) nchini, Bw. Alvaro Rodriguez (katikati) akimtambulisha
mmoja wa wageni waalikwa kwa Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Maendeleo
(UNDP), Awa Dabo (kulia).
Mwakilishi
Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi Duniani
(UNHCR) nchini, Joyce Mends-Cole (kulia) akifurahi jambo na Katibu Mkuu
wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata
Mulamula (kushoto) wakati wa zoezi la kupokea wageni waalikwa kwenye
mnuso wa birthday ya miaka 70 ya Umoja wa Mataifa Tanzania. Katikati ni
Mkuu wa Ofisi na Mwakilishi wa Shirika la UNESCO Tanzania, Zulmira
Rodrigues.
Wageni mbalimbali wakiendelea kuwasili na kupokelewa na wakuu wa Mashirika mbalimbali ya Umoja wa Mataifa.
Mratibu
wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la
Maendeleo (UNDP) Alvaro Rodriguez (kushoto) akiongozana na Naibu Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim mara tu alipowasili kwenye mnuso wa birthday ya miaka 70 ya Umoja wa Mataifa nchini.
Mkurugenzi
Mkazi wa Shirika la Maendeleo (UNDP), Awa Dabo (kulia) akifurahi jambo
na mmoja wa wageni waalikwa. Katikati ni Mratibu wa Mashirika ya Umoja
wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini,
Bw. Alvaro Rodriguez.
Kutoka
kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Diaspora kutoka Wizara ya Mambo
ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bibi Rosemary Jairo, Naibu Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt. Mahadhi Juma
Maalim, Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa katika Wizara ya
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Celestine Mushy pamoja
na Katibu wa Dkt. Mahadhi wakiwa kwenye mnuso wa birthday ya miaka 70
ya Umoja wa Mataifa.
Mtaalam
wa Mahusiano na Mawasiliano wa Umoja wa Mataifa (UN) Tanzania, Hoyce
Temu akisherehesha mnuso wa birthday ya miaka 70 ya Umoja wa Mataifa
tangu kuanzishwa kwake.
Mratibu
wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la
Maendeleo (UNDP) nchini, Bw. Alvaro Rodriguez akitoa salamu za Umoja wa
Mataifa kwa wageni waalikwa (hawapo pichani) kwenye mnuso wa birthday ya
miaka 70 ya Umoja wa Mataifa Tanzania, nyuma yake ni wakuu wa mashirika
mbalimbali ya Umoja wa Mataifa Tanzania.
Kutoka
kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Diaspora kutoka Wizara ya Mambo
ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bibi Rosemary Jairo, Katibu Mkuu wa
Wizara hiyo, Balozi Liberata Mulamula, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim, Mkurugenzi wa
Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Celestine Mushy na Mratibu wa Mashirika
ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo (UNDP)
nchini, Bw. Alvaro Rodriguez wakitazama moja ya 'Documetary' ya Malengo
Endelevu ya dunia katika mnuso wa birthday ya miaka 70 ya Umoja wa
Mataifa.
Naibu
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt. Mahadhi
Juma Maalim akitoa salamu za Serikali ya Tanzania kwenye mnuso wa
birthday ya miaka 70 ya Umoja wa Mataifa nyuma yake ni baadhi ya
wafanyakazi wa Wizara hiyo.
Msaidizi
wa Mh. Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim, Hoyce Temu na Mratibu wa
Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la
Maendeleo (UNDP) nchini, Bw. Alvaro Rodriguez wakifuatilia kwa umakini
hotuba ya Naibu Waziri huyo.
Sehemu
ya wageni waalikwa, wakuu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa, Mabalozi,
viongozi wa Serikali pamoja na wadau wa maendeleo waliohudhuria mnuso
huo.
Cake maalum iliyoandaliwa kwenye mnuso wa birthday ya miaka 70 ya Umoja wa Mataifa nchini.
Mratibu
wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la
Maendeleo (UNDP) nchini, Bw. Alvaro Rodriguez na Naibu Waziri wa Mambo
ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim
wakifanya 'cheers' ya kutakiana afya njema na baadhi ya wafanyakazi wa
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.
Tunywe kwa afya.
Fataki zikipamba mnuso wa birthday ya miaka 70 ya Umoja wa Mataifa.
Balozi
wa Umoja Ulaya nchini, Mh. Filiberto Sebregondi (kulia) na Mkuu wa
Ofisi na Mwakilishi wa Shirika la UNESCO Tanzania, Zulmira Rodrigues
wakibadilishana mawazo na baadhi ya waalikwa kwenye mnuso huo.
Mratibu
wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la
Maendeleo (UNDP) nchini, Bw. Alvaro Rodriguez akibadilishana mawazo na
Balozi wa Umoja Ulaya nchini, Mh. Filiberto Sebregondi kwenye mnuso wa
birthday ya miaka 70 ya Umoja wa Mataifa nchini.
Mratibu
wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la
Maendeleo (UNDP) nchini, Bw. Alvaro Rodriguez na Naibu Waziri wa Mambo
ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim
wakikata cake ya birthday ya miaka 70 ya Umoja wa Mataifa.
Naibu
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt. Mahadhi
Juma Maalim akiendelea na zoezi la kukata vipande vya cake huku baadhi
ya wakuu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa wakishuhudia zoezi hilo.
Mkuu
wa Ofisi na Mwakilishi wa Shirika la Umoja Mataifa linaloshughulikia
Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO), Zulmira Rodrigues akifurahia picha
pale camera ya Modewjiblog ilipommulika.
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt.
Mahadhi Juma Maalim akifurahi jambo na viongozi wa mashirika ya Umoja wa
Mataifa Tanzania.
Kutoka
kushoto ni Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Maendeleo (UNDP), Awa Dabo,
Mkurugenzi Mtendaji wa MKUKI NA NYOTA PUBLISHERS Bw. Walter Bugoyam
pamoja na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia
Idadi ya watu duniani (UNFPA), Dkt. Natalia Kanem.
Wageni waalikwa katika picha ya pamoja.
Kiongozi
wa Mabalozi na wawakilishi wa nchi mbalimbali Tanzania Balozi Juma
Mpango kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) akibadilishana
mawazo na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Diaspora kutoka Wizara ya Mambo
ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bibi Rosemary Jairo.
Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Maendeleo (UNDP), Awa Dabo katika picha ya pamoja na Mwakilishi
Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB), Bi.Tonia Kandiero kwenye
mnuso wa birthday ya miaka 70 ya Umoja wa Mataifa.
Waalikwa
na wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa wakiendelea kupata viburudisho
katika mnuso wa kukata na shoka wa birthday ya miaka 70 ya Umoja wa
Mataifa.
Usia Nkhoma Ledama na Naibu Mkurugenzi Mkazi-Oparesheni wa UNDP, Bw. Titus Osundina wakifurahi kwenye mnuso huo.
Musa Haji wa YUNA na Phillip Musiba wa UNIC Dar es Salaam kwenye mnuso wa birthday ya miaka 70 ya Umoja wa Mataifa.
Mwakilishi
Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi Duniani
(UNHCR), Joyce Mends-Cole (katikati) akipozi kwa picha na baadhi ya
wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa na wadau wa maendeleo.
Mtaalam
wa Mahusiano na Mawasiliano wa Umoja wa Mataifa (UN) Tanzania, Hoyce
Temu akibadilishana mawazo na Balozi wa Umoja Ulaya nchini, Mh.
Filiberto Sebregondi.
Wageni waalikwa wakibadilishana mawazo na kuendelea kuburudika kwenye mnuso wa birthday ya miaka 70 ya Umoja wa Mataifa.
Wageni waalikwa wakiendelea kubadilishana mawazo.
Hoyce Temu (wa pili kulia) na Usia Nkhoma Ledama (kushoto) wakipata picha ya ukumbusho na wadau wa MISA-TAN pamoja na UTPC.
Dada Petra Karamagi na Zoe Glorious wa ofisi ya Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa Tanzania wakipata picha ya ukumbusho.
Pichani juu na chini Vijana wa YUNA katika picha ya kumbukumbu.
Balozi
wa Umoja Ulaya nchini, Mh. Filiberto Sebregondi akibadilishana mawazo
na wafanyakazi wa East Africa Radio Nasser Kingu (kulia) na Isaac
Lukando (katikati).
Wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa kutoka kushoto ni Petra Karamagi, Laurean Kiiza na Beatrice Mkiramweni wakipata ukodak.
Mshauri wa masuala ya Haki za Binadamu kutoka Ofisi ya Mratibu Mkazi wa
UN Tanzania, Bi. Chitralekha Massey, Mkurugenzi Mtendaji wa MKUKI NA
NYOTA PUBLISHERS Bw. Walter Bugoya, Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha
Wanahabari Wanawake (TAMWA), Valerie Nsoka pamoja na Mwandishi wa Habari
mkongwe Mama Eda Sanga wakipozi kwa picha kwenye mnuso wa birthday ya
miaka 70 ya Umoja wa Mataifa tangu kuanzishwa.
Afisa
wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Maulida Hassan
(kulia). akipozi na familia ya Usia Nkhoma Ledama (wa pili kulia)
Wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa wakipozi na Familia ya Usia Nkhoma Ledama.
Kutoka
kushoto ni Mzee Mushi na Petra Karamagi (katikati) wa ofisi ya
Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa kwenye mnuso huo.
Wageni waalikwa katika picha ya pamoja.
Mratibu
wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la
Maendeleo (UNDP) nchini, Bw. Alvaro Rodriguez (wa tatu kushoto) katika
picha ya pamoja na wnahabari.
Wafanyakazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa katika picha.
Kutoka kushoto ni Prosper Makene, Hoyce Temu, John Badi na Lauren Kiiza wakipata Ukodak.
Burudani mbalimbali zikiendelea kusherehesha birthday ya miaka 70 ya Umoja wa Mataifa.
Baadhi ya waandishi wa habari katika picha ya pamoja.






















































No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269