.

MWANZA SHUGHULI ZA SIMAMA

Oct 23, 2015

Mvua kubwa katika Jiji la Mwanza na vitongoji vyake imewalazimu kusimamisha shughuli zao kwa Mvua iliyoanza kunyesha saa  11 Alfajiri hadi saa moja asubuhi  na kuendelea kunyesha 4 ya asubuhi na hadi sasa saa tisa Alaasri yaendelea kunyesha na kusababisha magari yanayo towa huduma katika Jiji hilo kusimama kutokana na mvua hizo na kusababisha shughuli  za  wafanya biashara ndogondogo wanao jiingizia kipato   kushindwa kufanya biashara kwa maeneo kujaa maji na mifereji kujaa maji, hadi sasa nikiandika  taarifa hii sijapata taarifa  yoyote inayohusu maafa au uharibifu wa mali, nitaendelea kuwaletea taarifa hii kupitia ujijirahaa blog. (NA RIPOTA WETU MWANZA UJIJIRAHAA) 

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª