Breaking News

Your Ad Spot

Oct 14, 2015

RAIS KIKWETE AFUNGUA HOSPITALI YA UTAFITI NA TIBA DODOMA

RE1RE2
Rais  Kikwete akimkabidhi ufunguo wa Hospitali ya Utafiti wa magonjwa ya The Benjamin Mkapa Ultra modern Hospital Waziri wa Afya Kebwe Steven Kebwe kama ishara ya kuikabidhi Wizara ya Afya hospitali hiyo wakati wa hafla ya ufunguzi jana.
RE3
Rais Kikwete akifunua jiwe la Msingi katika jengo jipya la Hospitali ya utafiti wa Magonjwa iliyojengwa katika chuo kikuu cha Dodoma na kupewa jina The Benjamin Mkapa Ultra Modern Hospital.Hospitali hiyo itatumika kwa mafunzo,tafiti na tiba ya magonjwa makubwa hususan figo na moyo.Kushoto ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma,Rais Mstaafu awamu ya Tatu Mh.Benjamin William Mkapa, na Katikati ni Waziri wa Afya Kebwe Steven Kebwe.
RE4 RE5
.Rais  Kikwete,na Rais wa Awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa wakikata utepe kufungua rasmi la Hospitali ya utafiti wa Magonjwa iliyojengwa katika chuo kikuu cha Dodoma na kupewa jina The Benjamin Mkapa Ultra Modern Hospital.Hospitali hiyo itatumika kwa mafunzo, tafiti na tiba ya magonjwa makubwa hususan figo na moyo
RE6
RE7
Rais  Kikwete akiwajulia hali baadhi ya wagonjwa waliolazwa katika hospitali mpya ya The Benjamin Mkapa UltraModern Hospital mjini Dodoma  (picha na Freddy Maro)
RE8

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages