.

RAIS KIKWETE AKABIDHI VITABU CHUO CHA ULINZI CHA TAIFA (NATIONAL DEFENNCE COLLEGE)

Oct 26, 2015

X1
Amiri Jeshi Mkuu Rais  Kikwete akimkabidhi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange vitabu kwaajili ya Chuo Cha ulinzi cha Taifa National Defence College(NDC) katika hafla fupi iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam  .Kulia ni Mkuu wa Chuo hicho cha NDC Meja Jenerali Gaudence Milanzi.
X2
Rais  Kikwete, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue,Mkuu wa Majeshi ya ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange,Mkuu wa Chuo Cha NDC Meja Jenerali Gaudence Milanzi wakiangali baadhi ya vitabu ambavyo Rais amevikabidhi kwaajili ya matumizi ya Chuo hicho.
X3
Amiri Jeshi Mkuu Rais  Kikwete,Katibu mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue (watatu kushoto), Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange, (kushoto) na Mkuu wa Chuo cha Ulinzi Cha Taifa(NDC) Meja Jenerali Gaudence Milanzi (kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi waandamizi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania muda mfupi baada ya Rais Kikwete kukabidhi vitabu kwaajili ya National Defence College) katika hafla iliyofanyika ikulu jijijini Dar es Salaam .
(picha na Freddy MRO)

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª