Breaking News

Your Ad Spot

Nov 5, 2015

CHELSEA YAIBUKA, YAICHAPA KIEV 2-1, YASHINDA NAFASI YA PILI KUNDI G


Chelsea imeibuka na kushinda kwa mabao 2-1 dhidi ya Dynamo Kiev ya Ukraine na kuifanya ifikishe pointi 7 na kushinka nafasi ya pili kundi G nyuma ya FC Porto yenye pointi 10.


Ushindi huo  wa Arsenal ikipata bao la pili kupitia kwa kiungo wake Mbrazil, William kumeamsha matumaini kuwa Chelsea inaweza kurejea Ligi Kuu england na kuanza kushinda, ingawa leo ilipata bao la kwanza baada ya Kiev kujifunga.

Chelsea: Begovic; Azpilicueta, Zouma, Terry, Baba Rahman; Ramires, Matic; Willian, Fabregas, Oscar; Diego Costa.
Subs: Blackman, Cahill, Loftus-Cheek, Kenedy, Hazard, Pedro, Remy.





No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages