Breaking News

Your Ad Spot

Dec 28, 2015

AJALI YA MOTO NYEGEZI MWANZA

Mtu wangu wa nguvu imeninifikia ripoti ya ajali ya moto kutoka Nyegezi Mwanza ikiripotiwa kuwa ni tukio la ajali ya moto chanzo kikitajwa kuwa shoti ya umeme. Ripota wa millardayo.com alikuwepo kufutilia kila kitu, hizi ni pichaz za tukio lenyewe mtu wangu. Na maelezo ya mwenye nyumba Rutta
‘Tukio limetokea nikiwa sebuleni ndani ya muda mfupi umeme ukakatika baadae nikasikia friji zinatikisika kompresa muda kidogo nikaona moshi unatokea vyumbani nikajua majirani kunavitu wanachoma mara moshi ukazidi nikafungua mlango kwenda vyumbani nikakumbana namoshi ukanirudisha nikajua kunamoto nikatoka nje kupiga kelele basi majirani wakaja kuanza kuzimazima baada ya saa moja fire ndio wakaja kuanza kushrikiana na wananchi lakini it was to lets namshukuru mungu familia iko salama” >>> Rutta 
Image00001
Image00002
Image00003
Image00004
Image00005
Image00006 (1)
Image00006
Image00007
Image00008
Image00009
Image00010
Image00011
Image00013
Image00014
Alex Rutta mwenye nyumba
Image00015
Andrew Mbate kamanda wa zimamoto
Image00016

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages