Breaking News

Your Ad Spot

Dec 24, 2015

JPM AKAMILISHA SAFU YA UONGOZI BARAZA LA MAWAZIRI


 Dkt. Philip Mpango ateuliwa kuwa Waziri wa Fedha na Mipango
 Dkt. Joyce Ndalichako, ateuliwa kuwa Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia, na Ufundi
 Profesa Jumanne Maghembe, ateuliwa kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii
Mhandisi Gerson Lwenge, ateuliwa kuwa Waziri wa Maji na Umwagiliaji na kuchukua nafasi ya Profesa Makame Mnyaa Mbarawa ambaye sasa atakuwa Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi
Mhandisi Hamad Masauni, ateuliwa kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages