Breaking News

Your Ad Spot

Dec 27, 2015

KAMATI KUU MAALUM YA CCM Z'BAR YAKUTANA, DKT.SHEIN AWASILISHA RIPOTI

 Makamo Mwenyekiti wa CCM, Zanzibar, ambaye pia ni Rais wa visiwa hivyo, Dkt.Ali Mohammed, Shein,(katikati), akiongoza kikao cha Kamati Maalum ya CCM visiwani humo kwenye ukumbi wa mikutano wa makao makuu ya CCM, Kisiwandui, mjini Unguja leo Desemba 27, 2015. Hakuna taarifa rasmi iliyotolewa kuhusu nini hasa kilichojiri kwenye mkutano huo, ingawa taarifa za ndani zinaeleza kuwa, Dkt.Shein aliwasilisha ripoti ya maendeleo ya mazungumzo ya kamati maalum inayoongozwa na yeye(Rais), kusaka suluhisho la mkwamo wa kisiasa visiwani Zanzibar kufuatia uchaguzi mkuu wa Oktoba 25, 2015 ambapo matokeo yalifutwa na Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi, Zanzibar, (ZEC).Kushoto ni makamu wa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan na kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Zanzibar, Vuai Ali Vuai.(Picha na Ikulu ya Zanzibar).
Baadhi ya wajumbe wa Mkutano wa siku moja wa  Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Zanzibar wakiwa katika mkutano chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Sheinuliofanyika leo  katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja,

Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi wa Chama wakati alipohudhuria katika Mkutano wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Zanzibar uliofanyika leo  Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages