Breaking News

Your Ad Spot

Dec 1, 2015

MBUNGE WA JIMBO LA ILALA MUSSA ZUNGU AIPATIA X-LEY YA KISASA HOSPITALI YA MKOA WA ILALA 'AMANA'

  Mbunge wa Jimbo la Ilala Mussa Zungu (CCM) (mwenye kofia) kushoto apata maelezo toka kwa Mtaalamu wa Mionzi Timothy Mnkai mara baada ya kukabidhi mashine hiyo ya X-ley Dar es Salaam  ya kisasa yenye dhamani ya Tsh. Milioni 85, nakufanya gharama za kupiga X-ley kushuka hadi Elfu Tatu badala ya elfu kumi na Tano za awali (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)

 Mbunge wa Jimbo la Ilala Mussa Zungu (CCM) akiwaonyenyesha waandishi wa habari na Viongozi wa Chama cha Mapiduzi (pichani hawapo)  CD  hiyo ya X-ley inayotumika kwa maktari kutambua matatizo ya mgonjwa tofauti na mfumo uliozoweleka kwa kutumia X-ley ya kuweka kwenye taa maalumu au kutaza kwa kuangalia kwakutumia mwanga wa nje, kulia ni Fundi Sanifu wa Mionzi Elvis Challe
Mwananchi Ally Madenge akifanya malipo kwa njia ya kisasa ya Viza Cad na nyuma yake ni mteja anayekusubiri kuhudumiwa   Mbunge wa Jimbo la Ilala Mussa Zungu (CCM) wa Tatu kushoto akitowa maelezo kwa Viongozi wa Chama cha Mapiduzi mara walipofika hospitali ya Mkoa ya Amana Dar es Salaam  kutembelea Hospitali hiyo kujionea X-ley hiyo baada yakufungwa katika chumba maalum yenye Dhamani ya Tsh. Milioni 85, aliyo ipatia Hospitali hiyo na kufanya Gharama kushuka hadi Elfu tatu  badala ya Tsh. elfu kumi na Tano za awali

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages