Breaking News

Your Ad Spot

Dec 29, 2015

SHY-ROSEI AFARIJI YATIMA JIJINI DAR ES SALAAM

 Mbunge Bunge la Afrika Mashariki, Shy-Rose Bhanji akikabidhi msaada wa vyakula na mahitaji mengine kwa Kituo cha kulea watoto yatima Mwandaliwa kilichopo Maeneo ya Mbweni nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya mchango wake kwa jamii wakati huu wa sikukuu za mwisho wa mwaka.
Shy-Rose Bhanji, akiwa amezungukwa na watoto hao pamoja na walezi wao wakati akikabidhi msaada huo

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages