Breaking News

Your Ad Spot

Dec 22, 2015

UHAMIAJI YATWAA KOMBE LA UBINGWA WA NETBOLI TANZANIA

  
 Mrajisi wa Vyama vya Michezo Zanzibar akimkabidhi Kombe la Ubingwa wa Michuano ya Muungano Kepteni wa Timu ya Uhamiaji Sofia Komba Baada ya Timu yao kulinyakuwa Kombe hilo Mwaka huu katika Uwanja wa Gmykhana Zanzibar kwa kuifunga Timu ya JKU ya Zanzibar kwa mabao 38---25 









No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages