Breaking News

Your Ad Spot

Dec 19, 2015

WATU 12 WAFA KATIKA AJALI YA BASI LA NEW FORCES

 Watu 12, wamefariki dunia, huku wenhine 45 wakijeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyotokea kijiji cha Igemi kata ya Mahenge wilayani Kilolo mkoa wa Iringa Desemba 18, 2015. Kwa muji wa kanda wa POLISI mkoa wa Iringa, Peter Kakamba, amesema ajali hiyo ilitokea majira ya SAA name mchana, ambapo basi LA kampuni ya New Force aina ya Yutong namba T483CTF, likitokea Dar es Dalaam kuelekea Tunduma, lilipofika eneo la Igemi barabara ya Itinga-Morogoro, liligongana na Lori aina ya Scania namba T616DEF kisha kupinduka. Majeruhi wamelazwa kwenye hospitali ya Ilula km 45 kutoka eneo LA ajali na engine wamepelekwa hospitali ya mkoa wa Iringa.





No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages