Breaking News

Your Ad Spot

Dec 30, 2015

WAZIRI MKUU MAJALIWA ATEMBELEA KAMBI ZA WAKIMBIZIWA BURUNDI HUKO NDUTANA NYARUGUSU MKOANI KIGOMA

 Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akimkabidhi vifaa mmojawa wanawake wakimbizi kutoka Burundi, ambaye amejifungua kwenye hospitali wakimbizi katika kambi ya Nyarugusu wilayani Kaslu  mkoani Kigoma akiwa katika ziara ya mkoa wa  Dec 29, 2015
 Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akizungumza na wanawake waliojifungua katika wodi ya wazazi ya hospitali ya wakimbizi katika kambi ya Nyarugusu wilayani Kaslu  akiwa katika ziara ya mkoa wa Kigoma. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akizungumza na wanawake waliojifungua katika wodi ya wazazi ya hospitali ya wakimbizi katika kambi ya Nyarugusu wilayani Kaslu  akiwa katika ziara ya mkoa wa Kigoma
 Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akiwapungia wakimbizi kutoka  Burundi wakati alipotembelea kambi ya Nyarugusu akiwa katika ziara ya mkoa wa Kigoma
 
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na watumishi  wa mashirika mbalimbali ya kimatifa wanaowahudumia wakimbizi wa Burundi kwenye kambi ya Nyarugusu wilyani Kasulu akiwa katika ziara ya mkoa wa Kigoma 

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na watumishi  wa mashirika mbalimbali ya kimatifa wanaowahudumia wakimbizi wa Burundi kwenye kambi ya Nyarugusu wilyani Kasulu akiwa katika ziara ya mkoa wa Kigoma

 Watoto wa wakimbizi kutoka Burundi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia mkutano wa hadhara kwenye kambi ya wakimbizi ya Nduta wilayani Kibondo
 Watoto wa wakimbizi kutoka Burundi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia mkutano wa hadhara kwenye kambi ya wakimbizi ya Nduta wilayani Kibondo
 
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la Msingi la Shule ya Msingi inayojengwa kwenye kambi ya wakimbizi ya Nduta wilayani Kibondo  ambayo imepewa jina lake, Alikuwa katika ziara ya mkoa wa Kigoma .  Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Kibondo, Ruth Msafiri
 Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akiwa amekalia dawati katika moja ya madarasa ya Shule ya Msingi inayojengwa kwenye kambi ya wakimbizi ya Nduta ambayo imepewa jina lake . Alikuwa katika ziara ya mkoa wa Kigoma . Wapili kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Kibondo, Ruth Msafiri
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akimkabidhi Mkuu wa Kambi ya Wakimbizi ya Nduta, Bw. Frederick Nisajile shilingi milioni 2 zikiwa ni mchango wa kusaidia programu ya upandaji miti kwenye maeneo yanayozunguka kambi hiyo. Alikuwa katika ziara ya mkoa wa Kigoma . Katikati ni Mkuu wa Wilaya ya Kibondo, Ruth Msafiri.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages