Breaking News

Your Ad Spot

Dec 19, 2015

WAZIRI MKUU MAJALIWA ZIARANI DAR ES SALAAM MRADI WA MABASI YAENDAYO KASI DART

 Waziri Mkuu,  Kassim Majaliwa, (katikati), akizungumza jambo wakati wa ziara hiyo. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSA)

 Waziri Mkuu, mh.Kassim Majaliwa, (katikati), akiwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora, Mh.George Simbachawene(kulia), akishuka kutoka ndani ya moja ya mabasi ya mradi wa usafiri wa haraka jijini Dar es Salaam (DART), alipotembelea miundombinu na maeneo kadhaa yahusuyo mradi huko jijini Dar es Salaam, .(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).







No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages