Breaking News

Your Ad Spot

Jan 29, 2016

ABIRIA WAJERUHIWA VIBAYA KATIKA AJALI YA DALADALA, KIBAMBA JIJINI DAR ES SALAAM

 Watu kadhaa wameumia wengine vibaya sana, kufuatia ajali ya daladala iliyotokea mapema asubuhi hii, Januari 29, 2016 eneo la CCM-Kibamba barabara ya Morogoro jijini Dar es Salaam
Mashuhuda wanasema, daladala hilo linalofanya safari zake kati ya Dar es Salaam naMsata, liligongana na gari lingine na kutumbukia mtaroni ambapo majeruhi walionekana wakilia na kuomba msaada. miongoni kwa abiria walikuwemo watoto wa Shule. Pichani juu, mmoja wa abiria aliyejeruhiwa akisubiri kupatiwa msaada.(Picha kwa hisani ya Manyerere Jacton).


Daladala lililopata ajali.



No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages