Breaking News

Your Ad Spot

Jan 23, 2016

HARUSI YA AMINA MTEMVU YAFANA KATIKA UKUMBI WA DIAMOND JUBILEE JIJINI DAR ES SALAAM

Bwana Harusi Masoud Masoud akimwekea mkewake Amina Mtemvu mkono kichwani wakati wa harusi yao iliyofanyika  Ukumbi wa Diamond Jubilee VIP Holl
Biharusi Amina Mtemvu katika pozi
Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi akiagana na aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Temeke wakati wa hafla ya ya harusi ya Amina Mtemvu iliyofanyika Ukumbi wa Diamond Jubilee (VIP) Holl, Dar es Salaam

Bwana Harusi Masoud Masoud

Bi harusi Amina Mtemvu akiwa katika tabasamu baada ya hafla ya harusi yake iliyofanyika katika Ukumbi wa Diamond Jubilee (VIP) Holl, Dar es Salaam  

Bwana Harusi Masoud Masoud akimfunua mkewake Amina Mtemvu wakati wa haflaya yao iliyofanyika Dar es Salaam katika Ukumbi wa Diamond Jubilee (VIP) Holl, Dar es Salaam  
Mama wa Bi harusi Amina Mtemvu akiwa katika pozi na watoto wake








Picha ya pamoja ya wazazi na watoto wao (kulia) ni mama wa bwana harusi na kushoto ni mama wa biharusi














Mwimbaji wa bendi ya Gusagusa, Ally Hassan  akighani wakati kundi hilo lilipokuwa likitoa burudani katika sherehe ya harusi ya Amina Mtemvu iliyofanyika ukumbi wa Diamond  Jubilee Dar es Salaam




No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages