Breaking News

Your Ad Spot

Jan 19, 2016

KATIBU MKUU WIZARA YA HABARI AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA SHIRIKISHO LA SOKA DUNIANI (FIFA) SALMAN BIN EBRAHIM

SS
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel kulia akiongea na Makamu wa Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) Bw. Salman Bin Ebrahim Al Khalifa katikati kuhusiana na maendeleo ya michezo nchini, kushoto ni Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania Bw. Jamali Malinzi.
SSS
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel kulia akiongea na Makamu wa Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) Bw. Salman Bin Ebrahim Al Khalifa kushoto kuhusiana na maendeleo ya michezo nchini,katikati ni Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania Bw. Jamali Malinzi.
SSSS
Makamu wa Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) Bw. Salman Bin Ebrahim Al Khalifa katikati akiongea na Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel kulia kuhusiana na maendeleo ya michezo nchini, wa kwanza kushoto ni Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania Bw. Jamali Malinzi. (Picha na Benjamin Sawe-WHUSM)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages