Breaking News

Your Ad Spot

Jan 28, 2016

KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NJE AKUTANA NA BOSI WA TAKUKURU

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Balozi Aziz Mlima (kulia), amekutana na kufanya mazungumzo na Kaimu Mkurugenzi Mku wa Taasisi ya Kuazuia na Kupambana na Rushwa, (TAKUKURU), Bw. Valentino Mlowola kwenye makao makuu ya wizara hiyo jijini Dar es Salaam. Mazungumzo hayo pia yalihudhuriwa na Mkurugenzi wa kitengo cha Sheria cha Wizara hiyo, Balozi Baraka Luvanda, (wapili kulia picha ya chinina na Afisa wa Mambo ya Nje Bw. Elisha Suku. (wakwanza kulia picha ya chini). (Picha kwa hisani ya Wizara)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages