Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Mwanza Simon Mangellepa akiongea na Wanahabari katika ofisi za Chama hicho Mkoa wa Mwanza.
Na:George Binagi-GB Pazzo @BMG
Chama
cha Mapinduzi CCM Mkoani Mwanza, kimewataka viongozi mbalimbali Mkoani Mwanza,
kuwatumikia vema wananchi waliochagua na kuacha kufanya kazi kwa mazoea.

Kauli hiyo imetolewa leo na Katibu Mwenezi wa
Chama hicho Simon Mangellepa mbele ya wanahabari, wakati akitoa shukrani kwa
makundi mbalimbali ya wananchi ambayo ni pamoja na machinga, wakulima, wavuvi pamoja na wafanyabiashara kwa namna walivyojitoka kwa hali na mali kukisaidia chama hicho kuibuka na ushindi
katika uchaguzi mkuu uliofanyika mwaka jana.

Mangellepa amesema kuwa uchaguzi umemalizika
hivyo ni vema viongozi wote ambao ni pamoja na Mabalozi, Wenyeviti wa Serikali
za Mtaa na Vijiji, Madiwani pamoja na Wabunge wakaacha kuwatumikia wananchi kwa
mazoea na badala yake wawakilishe vizuri katika ngazi za maamuzi katika kutatua
matatizo yao.

“Hii kauli ya Hapa Kazi Tu haishii kwa Magufuli
peke yake (Rais John Pombe Magufuli), mimi nasema inaanzia hata kwa mabalozi,
wenyeviti wa vitongoji, mitaa, madiwani na wabunge. Chama cha Mapinduzi Mkoa
kinawataka Madiwani na Wabunge warudi kwa wananchi ili wanapokwenda
kuwawakilisha wananchi wawakilishe mawazo sahihi ya wananchi wao”. Alisema
Mangellepa.

Kauli ya Chama hicho imeungwa mkono na baadhi ya
wananchi Jijini Mwanza ambao wamewakumbusha viongozi wao kuhakikisha kwamba wanatatua
changamoto zinazowakabili ambazo ni pamoja na ukosefu wa ajira kwa vijana,
ubovu wa miundombinu, kushughulikia kero ya upatikanaji wa maji safi na salama pamoja
na huduma za afya katika ngazi za Kata ili kutimiza ahadi walizozitoa wakati wa
kampeni zao.
wananchi Jijini Mwanza ambao wamewakumbusha viongozi wao kuhakikisha kwamba wanatatua
changamoto zinazowakabili ambazo ni pamoja na ukosefu wa ajira kwa vijana,
ubovu wa miundombinu, kushughulikia kero ya upatikanaji wa maji safi na salama pamoja
na huduma za afya katika ngazi za Kata ili kutimiza ahadi walizozitoa wakati wa
kampeni zao.
Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Mwanza Simon Mangellepa akiongea na Wanahabari katika ofisi za Chama hicho Mkoa wa Mwanza.
Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Mwanza Simon Mangellepa akiongea na Wanahabari katika ofisi za Chama hicho Mkoa wa Mwanza.
Wanahabari
Nikiripoti Kutoka Jijini Mwanza, Mimi ni George Binagi-GB Pazzo @BMG
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269