Breaking News

Your Ad Spot

Jan 29, 2016

MKURUGENZI WA BARAZA LA WAGANGA TIBA ASILI ATOA TAMKO KWA WANAOTUMIA KIMVULI CHA DAWA ZA ASILI NA WANAO JIITA WATABIBU

Mkurugenzi wa Baraza la Tiba Asili  (BAWATA) , Davidi Wiketye (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (pichani hawapo) Dar es Salaam , akizungumzia sintofahamu kati ya wauza dawa ambao wanajifanya waganga kwa kutumia mwamvuli wa tiba asili na matumizi ya vyombo vya habari, kulia ni Mwenyekiti wa Baraza hilo, Shaka  Shaka (PICHA NA KHAMISI MUSSA)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages