Mtemvu akizungumza jambo wakati wa mkutano huo wa uzinduzi wa kikundi hicho (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA) Mmiliki wa UJIJIRAHAA BLO
Mtoto Shivo Ndey akitowa shoo akiwa amebebwa na Mjanamali Ndey katika Mkutano wa Uzinduzi wa Kikundi cha Kilakala Club kwa kutimiza miaka mitatu
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Temeke na nikamanda
wa Vijana Mkoa wa Dar es es Salaam, Abbas Mtemvu akisalimiana na
Diwani wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Amiry Bakari 'Osama'
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Temeke, ambaye ni kamanda
wa Vijana Mkoa wa Dar es es Salaam, Abbas Mtemvu akisalimiana na
Viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambapo alikuwa Mgeni Rasmi katika
Mkutano wa Uzinduzi wa Kikundi cha Kilakala Club kwakutimiza miaka
mitatu
Mtoto
Shivo Ndey (wa kwanza kushoto) akikabiliana na mmoja wa wanafunzi Juma
Hamisi (kulia) waliotumwa na kiongozi wao wamkamate na kundi hilo
waliokuja kumshambulia kwa lengo la kumkamata
Mwenyekiti wa Kikundi cha Kilakala Sports Club, Hussen Simba akifafanua jambo katika Mkutano huo
Baadhi ya Viongozi wakiwa wamesimama wakati walipo tambulishwa katika Mkutano huo
Mjanamali Ndey akitoa burudani ya sarakasi wakati wa
mkutano wa uzinduzi wa maadhimisho ya kutimiza miaka mitatu kikundi cha Kilakala clup
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Temeke, ambaye ni Kamanda
wa Vijana Mkoa wa Dar es es Salaam, Abbas Mtemvu (wapili kushoto)
akimkabidhi Mwenyekiti wa Kikundi cha Kilakala Club, Hussen Simba
(kulia), sh. 400,000 kwa ajili ya ununuzi wa vifaa vya michezo wakati wa
mkutano wa uzinduzi wa maadhimisho ya kutimiza miaka mitatu, Dar es
Salaam. Wakwanza kulia ni Diwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),
Amiry Bakari 'Osama'
Wananchi wakishuhudia shoo wakati wa Uzinduzi huo
Mtemvu ajira Njenje
Nawashukuru sanasana mwenyekiti seba na mkufunzi na timu yake ya
vijana na wote kwa ujumla nashukuru kwa kunialika kwakunikumbuka kama
kamanda kwakupewa taarifa ya wito wa kushirikishereshe yenu ya kutimiza
miaka mitatu tunawapongeza sanasana labda nianze kusema machache,
Kilakala Sports Club jambomliloamua ni jambo muhimu na jambohili
linaajira nyingi lakini ni jinsigani mtajipanga vipi na kufungua kampuni
kubwa ya ulinzi na mimi nitawashawishi huko na mimi nitawasaidia huko
na kufanya usajili ili iwekampuni yaulinzi na kuingiza kipato kwa wingi
lakini jingine wale watu wazima wenye umri kuanzia miaka 20 na 40 wale
mabachela tutaongea na viongozi kama wananafasi na afya nzuri
tutawapeleka Dubei pale kunaajira kubwa wakafanye kazi nawao waweze
kuongeza kipato ili waweze kusaidia kikundi chenu lakini hili
mlilolifanya ni ajira ajira zinazo semwa na mzee magufuli nyie hapa
mnaajira lakini hamjajua ni jinsi gani ya kutumia lakini tutasaidiana.
na vifaa nitawasaidia
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269